Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

naona wenzakohuko africa bado wamelala,,
fanyeni kazi, no short cut in the real world,
Fuatilia American greed utajifunza kitu in your life
Kwani forex aliekwambia ni short cut nani? Kwenye uzi wangu apo umeona nilipo i undermine fx kwamba ni get rich fast?, anyway kila mtu na njia zake lengo ni kupata pesa hela za madini kilimo zote ni namba pili ninamirad mingine
 
1564804210897.png
1564804476886.png
1564804536576.png
1564804556870.png
 
Attachments

  • 1564804212325.png
    1564804212325.png
    41.8 KB · Views: 54
  • 1564804319808.png
    1564804319808.png
    20.2 KB · Views: 61
Habari zenu wakuu

ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara

What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k

Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz

Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,

Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia

Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,

sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$

Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli

Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa

Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing

Deal closed
Enjoy a weekend
Kama zali limekuangukia fedha ni zako. Maelezo yote haya ya nini? Mbona unajieleza kama umeambiwa utowe maelezo kituo cha polisi. Uzoefu wangu wa maisha unaniambia binadamu siku zote huficha sehemu yenye ulaji. Ukisikia binadamu anayepiga kelele ''jamani ehe... njooni huku kuna ulaji.... '' basi ujue kuna jambo lililojificha ndani yake... Maelezo marefuuuuuuu utadhani uko mahakamani unajitetea kwa kosa la utakajishaji fedha mazee!
 
Mkuu naelewa unachoongelea hapo wiki hii Kwa aliyekuwa vizuri kihisia na kimipango ametusua vibaya Sana kwenye forex.

Hongera Sana sie wengine bado.
Ila Siku zinahesabika.
Bravooo!
 
Hongera mkuu maana ile safari ya kuelekea nchi ya ahadi kwako imeshapamba moto hapo.

Naomba nikuulize maswali machache.
#ulikuwa na capital ya usd ngapi.. Na ulitembea na lots size ya ngapi na uliopen position ngapi?

#km ukiwiwa japo usd 100..tu mkuu kwa gud faith naomba this week ilikuwa mbovu kwangu I burn de account nilibuy..
 
Na mimi nasubiria jibu hapa

Maana kama ni proffesional forex player huwezi kupiga hela zote hizo kwa mpigo halafu mtaji wako ni mdogo, najua theoretically inawezekana ila hakuna proffesional forex player anayecheza hivyo, mtikisiko kidogo tu, umeunguza account

Watu wanaipiga hela kama hizo wanatakiwa wawe na kitu kama at least 200k usd kwenya account zao

Sasa mtoa mada kasema amepiga hizo AMEAGA UMASIKINI ina maana alikuwa na mtaji mdogo sana, yaani hapo alikuwa anacheza pure reckless gamble wala sio mtaalam ama anadanganya maboya
 
alete fact sio kwamba nmepiga tu bila ushuhuda wa amount iliyokuwepo kabla na lot size alizotembea nazo
 
Habari zenu wakuu

ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara

What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k

Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz

Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,

Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia

Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,

sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$

Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli

Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa

Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing

Deal closed
Enjoy a weekend
i did too boss i banked 25k usd on eurchf...life is funny sometimes
 
Kama zali limekuangukia fedha ni zako. Maelezo yote haya ya nini? Mbona unajieleza kama umeambiwa utowe maelezo kituo cha polisi. Uzoefu wangu wa maisha unaniambia binadamu siku zote huficha sehemu yenye ulaji. Ukisikia binadamu anayepiga kelele ''jamani ehe... njooni huku kuna ulaji.... '' basi ujue kuna jambo lililojificha ndani yake... Maelezo marefuuuuuuu utadhani uko mahakamani unajitetea kwa kosa la utakajishaji fedha mazee!
Kila mtu na hulka zake pesa za forex siwez zimaliza yanin nivunge
 
Mkuu naelewa unachoongelea hapo wiki hii Kwa aliyekuwa vizuri kihisia na kimipango ametusua vibaya Sana kwenye forex.

Hongera Sana sie wengine bado.
Ila Siku zinahesabika.
Bravooo!
Great mkuu
 
Hongera mkuu maana ile safari ya kuelekea nchi ya ahadi kwako imeshapamba moto hapo.

Naomba nikuulize maswali machache.
#ulikuwa na capital ya usd ngapi.. Na ulitembea na lots size ya ngapi na uliopen position ngapi?

#km ukiwiwa japo usd 100..tu mkuu kwa gud faith naomba this week ilikuwa mbovu kwangu I burn de account nilibuy..
[emoji23][emoji23]
 
Mtaji wangu ni mkubwa tu above [emoji1241]0,000$ nilifungua two moja ya eurjpy na ingine audjpy with 5.00lots pips gathered is 230+pips

Hata mtu ungeenda kwa 0.20 ulikua unalaza si chini ya ml kwa position moja
 
U deserved mkuu kwa capital hiyo uliyonayo..!
Forex is our life!
 
Mtaji wangu ni mkubwa tu above [emoji1241]0,000$ nilifungua two moja ya eurjpy na ingine audjpy with 5.00lots pips gathered is 230+pips

Hata mtu ungeenda kwa 0.20 ulikua unalaza si chini ya ml kwa position moja
Sasa mbona umedai umeaga umasikini?
 
Habari zenu wakuu

ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara

What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k

Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz

Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,

Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia

Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,

sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$

Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli

Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa

Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing

Deal closed
Enjoy a weekend
Tupe stocks zinazo selll
 
Back
Top Bottom