Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu natafuta mentor wa forex mm nipo Tanzania institute of accountancy singida
Kama unajifunza fungua akaunti ya dola moja na akaunti iwe kwenye cent.Mtaji ni kuanzia sh nfapi🤔
nmeipenda hiiPengine ulikuwa hujui kuhusu broker TEMPLERFX, ngoja nikujuze
[emoji959]Makao makuu yake yapo Uingereza(United Kingdom)
[emoji959]Ni broker ambaye ana miaka 15 Katika biashara hii ya Forex. Alianza kufanya kazi mwaka 2004.
[emoji959]Miaka mitatu badae akasajiliwa na kutambulika na Taasisi zinazosimamia biashara ya forex duniani.
[emoji959]Kitu kimoja broker huyu anapendwa na watu wengi hasa Tanzania Ni hii njia yake ya kudeposit na kuwithdraw kupitia M-PESA, Na unapata hela yako ndani ya dakika moja tu,, kitu ambacho Ni tofauti kwa broker wengine ambao wanatumia M-PESA, unatoa saizi hela unaipata baada ya masaa 12 nakuendelea kitendo hicho huwa watu hawapendi,.
[emoji959]Pia minimum deposit kwa huyu broker huwa inambeba Sana , Ni kuanzia $1(TSH 2,300) na kuendelea , tofauti na broker wengine minimum deposit zao inakuwa kuanzia $100 (TSH 230,000) kwenda juu.
so hata ukiwa na elfu 30 unaweza kudeposit templer na ukaanza kutrade..
[emoji959]Hana commission Katika trades utakazoingia (zero commission)
[emoji959]Kwa mtu ambaye Bado hujaiva vizuri Katika forex na unahofu ya kupoteza hela yako[emoji16] Templer anakupa nafasi ya kufungua cent account ambayo ukideposit $1 kupitia M-PESA , kwenywe trading platform itatokea $100 (cent)
Utaweza kutrade na ukipata faida utawithdraw. Maelezo Zaidi unaweza kunichek inbox.
[emoji959]Ni broker pekee ambaye ili aweze kuverify account yako itabidi uwe na vitu vifuatavyo
*Namba ya simu (Vodacom)
*Kitambulisho kimojawapo Kati ya (Lessen ya udreva,kura,uraia au passport ya kusafiria)
Ukishamtumia ataverify haraka account yako na utaanza kutrade..
Tofauti na broker wengine wanataka uanze Kwanza kudeposit ndipo wataverify account yako[emoji706]
[emoji959]Kama Bado hujafungua account unaweza kufungua kupitia link hii https://secure.templerfx.com/main?rid=109740
Kiongoz Linko Nimejaribu kuingia hyo link naona inanikatalia so naomba nikupe namba yangu uniunganishe na hilo group..natanguliza shukurani +255 744 624 781
Asante
Nime jaribu kuku add naona nime shindwaa ila jaribuu hiyooKiongoz Linko Nimejaribu kuingia hyo link naona inanikatalia so naomba nikupe namba yangu uniunganishe na hilo group..natanguliza shukurani +255 744 624 781
Asante
Kama bado hujafungua account , ingia hapo https://record.binary.com/_u2VaS2OLlAa6tyDIijdDK2Nd7ZgqdRLk/1/Wakuu nataka nianze kutrade volatility index 75 naombeni msaada wenu Na ushauri
Hahahha leo umechelewa hahahahahahhahahhahahahahahahhahahahahahababababa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Boss kimekupata nini mbona unauza vitendea kazi Mzeeforex is bae pata chombo upigie kazi...
wasap me 0752992703View attachment 1235087View attachment 1235088View attachment 1235089
nimepata ofs ingine mkuuBoss kimekupata nini mbona unauza vitendea kazi Mzee
Iyo monitor unauza bei gani mkuuforex is bae pata chombo upigie kazi...
wasap me 0752992703View attachment 1235087View attachment 1235088View attachment 1235089
370k ila tunaongea mkuu karib wasapIyo monitor unauza bei gani mkuu