GE2025 Wazee wa Inchugu: Heche, kama amekosea, apelekwe Mahakamani; Vijana wetu wanakatwa hatuji wanakopelekwa

GE2025 Wazee wa Inchugu: Heche, kama amekosea, apelekwe Mahakamani; Vijana wetu wanakatwa hatuji wanakopelekwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Wazee wa Tarafa ya Inchugu wameitisha Mkutano Mkuu wa kijamii (Litongo) usio na misingi ya kisiasa, wakitaka Serikali kusikia kilio cha jamii ya Wakurya kinachodai haki, amani na heshima kwa binadamu.

Wametoa tamko wakisisitiza kuwa hawana ugomvi na serikali, bali wanapinga vitendo vya uteki, ukamataji holela, na uonevu unaoendelea dhidi ya vijana na viongozi wa Sirari, akiwemo kijana wao John Heche, anayeshikiliwa kwa madai kuwa ameenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu.

Wamesema vitendo hivyo vinavuruga utulivu na kuua uchumi wa mji wa Sirari, kwani zaidi ya watu 20 wanaripotiwa kupotea bila maelezo wakiwemo:

1. Sinda Samson Mseti – mgombea udiwani kata ya Sirari (CCM)
2. Gimase Bwiru Gimase
3. Siza Keheta
4. Antony Moseti
5. Sconslaus Nyangoko

6. Ibrahim (boda boda)
7. Mussa Juma Tall
8. Mang’era Carlos Mogore
9. Daniel Chonchorio – mjumbe wa mkutano mkuu CCM
10. Joseph Mtiba
 
Back
Top Bottom