Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
143
Reaction score
204
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.

Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.

Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.

Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.

Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
 
Mleta mada ningekusaidia tatizo mda wote natumia private jet yangu gulfstream 6500.

Kwasasa niko angani nikitokea Zurich na kuelekea matax haven huko maamaee Bahamas, St barts, Panama na virgin islands.

Kama kamzigo kako kametumwa kupitia Ethiopian airlines au kenya airways hesababu maumivu.

Nyau de adriz
 
Uliposema rafiki yako yupo abroad na amekutumia mzigo unaoishia kenya.

Hapo, tuambie tu stori yote ilivyokuwa ili tukushauri.

Lakini kama huyo rafiki yako mmefahamiana facebook, tambua huyo ni tapeli, na amekuwa akitumia swagger hizo hizo za mzigo kushindwa kufika, mwishowe utume kiasi kidogo ili kufanikisha mzigo kufika.

Be warned, usije tapeliwa!
 
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.

Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.

Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.

Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.

Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Huu utapeli bado upo tuu..
Najua umefahamiana naye kwenye social media hasa hasa facebook.

Anakupanga tu huyo akwambie kuna agent sijui mtumie hela atakusaidia kusafirisha mzigo huo ..hapo ndio utakapolizwa.

Usikute ni mbongo tuu
 
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
 
Danga limekukumbuka
 
😅
 
Kwamba kusafirisha mizigo kwa ndege sasa imekuwa kama kusafirisha parcel kwa fuso au Kimbinyiko?
 
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
muulize kampuni gani?
tuanzie hapo..
mzigo umesafirishwa na mtu au umekuja kama parcel..

Bro hizi mambo ndio zipo hivi hivi..
na story ni same same.
mzigo umeshindwa kufika Tanzanja umeishia Kenya..
 
Kwamba kusafirisha miz8go kwa ndege sasa imekuwa kama kusafirisha parcel kwa fuso au Kimbinyiko?
Dogo Anglia usije ukamrushia picha. Utadhalilika siku mkigombana
 
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
Hadi ulie ndio utaelewa huyo ni tapeli
 
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.

Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.

Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.

Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.

Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Nyundo Kali ya tapeli inamuangukia mtu kichwani
 
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.

Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.

Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.

Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.

Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Mkuu huyo rafiki yako kweli unamjua? Manake scenario yako inafanana kabisa na mataperi waliotaka kunitaperi ealifikiri mi mshamba
 
Back
Top Bottom