Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

Unamiliki simu na unaeza kudownload Jf..unashindwa hta kugoogle?usituchoshe..ila m ush
 
Uliposema rafiki yako yupo abroad na amekutumia mzigo unaoishia kenya.

Hapo, tuambie tu stori yote ilivyokuwa ili tukushauri.

Lakini kama huyo rafiki yako mmefahamiana facebook, tambua huyo ni tapeli, na amekuwa akitumia swagger hizo hizo za mzigo kushindwa kufika, mwishowe utume kiasi kidogo ili kufanikisha mzigo kufika.

Be warned, usije tapeliwa!
Hawezi kukuelewa
 
Huyo rafiki yako ana matani ya hatari!.... Ananikumbusha miaka ya 70/80 wakati mizigo ya jeans na raba mtoni ikitumwa kutoka London na kufika Dar es salaam kwa meli baada ya kusafiri kwa siku 60 hadi 90. 🤓
 
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
Acha ujinga wewe unapigwa
 
1000120406.jpg

Wakuu nimeleta mrejesho mambo yanavyoendelea huku na zawadi zangu
 
Yaani mtu yuko london kuna makampuni kibao ya kutuma mzigo unakuijia mpaka Moro halafu anakuambia nimekuekea mzigo unakuja Nairobi ndio mwisho wa safari
Hebu weka ukweli hapa na maana huu utapeli una siku nyingi sana
Kama sio mtu unaemjua personally basi achana nao
Utaambiwa tuma kiasi flani cha fedha ili tukutumie mzigo wako na hapo ndio unapopigwa Shtuka mzee
Hakuna cha London wala nini mchezo wote unachezwa Kenya
Unataka mzigo niambie nikutumie kwa gharama zako ila sio bure 😄
Nimewaza tu haya boss wangu
 
Back
Top Bottom