real hustler
Senior Member
- Mar 12, 2021
- 143
- 204
Huu utapeli bado upo tuu..Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.
Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.
Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasaUliposema rafiki yako yupo abroad na amekutumia mzigo unaoishia kenya.
Hapo, tuambie tu stori yote ilivyokuwa ili tukushauri.
Lakini kama huyo rafiki yako mmefahamiana facebook, tambua huyo ni tapeli, na amekuwa akitumia swagger hizo hizo za mzigo kushindwa kufika, mwishowe utume kiasi kidogo ili kufanikisha mzigo kufika.
Be warned, usije tapeliwa!
😅Umekutana na tapeli ila kwakua unamfichia siri na kumuita rafiki yako ni ngumu sana kusaidiwa hadi kitu kizito kitue kichwani
Danga limekukumbukaKuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.
Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.
Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
😅Huu utapeli bado upo tuu..
Najua umefahamiana naye kwenye social media hasa hasa facebook.
Anakupanga tu huyo akwambie kuna agent sijui mtumie hela atakusaidia kusafirisha mzigo huo ..hapo ndio utakapolizwa.
Usikute ni mbongo tuu
😅Danga limekukumbuka
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.
muulize kampuni gani?+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
Dogo Anglia usije ukamrushia picha. Utadhalilika siku mkigombanaKwamba kusafirisha miz8go kwa ndege sasa imekuwa kama kusafirisha parcel kwa fuso au Kimbinyiko?
Hadi ulie ndio utaelewa huyo ni tapeli+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
Tena amekutumia na vipicha picha kuonesga mzigo upo packed..
Nyundo Kali ya tapeli inamuangukia mtu kichwaniKuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.
Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.
Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Mkuu huyo rafiki yako kweli unamjua? Manake scenario yako inafanana kabisa na mataperi waliotaka kunitaperi ealifikiri mi mshambaKuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.