real hustler
Senior Member
- Mar 12, 2021
- 143
- 204
- Thread starter
-
- #21
FASTWAY COURIERSmuulize kampuni gani?
tuanzie hapo..
mzigo umesafirishwa na mtu au umekuja kama parcel..
Bro hizi mambo ndio zipo hivi hivi..
na story ni same same.
mzigo umeshindwa kufika Tanzanja umeishia Kenya..
Huyo jamaa tapeli, hapo kinachofata utume pesa ya kusafirishia mzigo kuja tz, inawezekana vipi mzigo unaenda dar ukaishia Kenya????Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.
Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.
Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
πNyundo Kali ya tapeli inamuangukia mtu kichwani
shida wakiwa wanaomba msaada wanaficha story ya kweli wanatunga ya kuzugia watu..Mkuu huyo rafiki yako kweli unamjua? Manake scenario yako inafanana kabisa na mataperi waliotaka kunitaperi ealifikiri mi mshamba
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
FASTWAY COURIERS kampuniHuyo jamaa tapeli, hapo kinachofata utume pesa ya kusafirishia mzigo kuja tz, inawezekana vipi mzigo unaenda dar ukaishia Kenya????
Kama abiria wanafaulishwa iweje iwe mgumu kwa mzigo????
Unataka kuniambia hakuna mizigo inayotoka London kuja tz??? Kama IPO kwanini wa kwako usifike????
Wengi washasema na mm nasisitiza umekutana na tapeli.Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja ya kutoka London Hadi Tanzania.
Sasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.
Natanguliza shukrani kwako wa wazo/ushauri Bora great thinker
Ndio maana huu ni mkusanyiko wa great thinkerSasa si utumie hiyo experience yako!?,unakuja huku kuuliza nini?,sikio la kufa halisikii dawa
jiongeze na weweee ...FASTWAY COURIERS kampuni
πshida wakiwa wanaomba msaada wanaficha story ya kweli wanatunga ya kuzugia watu..
Likiwakuta ndio story ya kweli inaletwa
Kuna sister alishanipa mpka kazi ya kumtafutia nyumba ya milioni 100..
kwanza kuna pesa inatumwa atafute nyumba...kumbe story ni tofauti kadanganywa huko kuwa atatumiwa dollar 100,000 Anunua nyumba ili huyo mchumba ake mzungu waje waishi wote..
Kumbe lisela tu li Omary la zanzibar ndio lilikuwa linamchezea mchezo wote..
Nenda kasafishe macho KenyaSasa hapo mzigo wangu naweza pataje na Mimi Niko morogoro.
πUkipenda mteremko wahuni hawaachi kukunyoosha.
πNenda kasafishe macho Kenya
πNadhani unachukulia ndege kama Abood vile!
Kiukweli tumefahamiana haizidi siku 15+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
Yaani kama hajapigwa basi yuko karibu kupigwa na kitu kizitoNyie hata mikiambiwa hao ni matapeli huwa hamtaki kuelewa