Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

Unamiliki simu na unaeza kudownload Jf..unashindwa hta kugoogle?usituchoshe..ila m ush
 
Hawezi kukuelewa
 
Huyo rafiki yako ana matani ya hatari!.... Ananikumbusha miaka ya 70/80 wakati mizigo ya jeans na raba mtoni ikitumwa kutoka London na kufika Dar es salaam kwa meli baada ya kusafiri kwa siku 60 hadi 90. ๐Ÿค“
 
+447 hiyo ni country code ya London na nimefahamiana naye mda sasa
Maana Niko na experience ya international agriculture
Specific in dairy cattle
Hiyo interest ndio imetuleta pamoja
Acha ujinga wewe unapigwa
 

Wakuu nimeleta mrejesho mambo yanavyoendelea huku na zawadi zangu
 


Huu ni utakuwa ubaya ubwela sasa๐Ÿ˜…
Na jua lote hili mtu analeta ubwela ๐Ÿ˜…
Sio poa
 

Pesa inatafutwa Kwa shida buana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Yaani mtu yuko london kuna makampuni kibao ya kutuma mzigo unakuijia mpaka Moro halafu anakuambia nimekuekea mzigo unakuja Nairobi ndio mwisho wa safari
Hebu weka ukweli hapa na maana huu utapeli una siku nyingi sana
Kama sio mtu unaemjua personally basi achana nao
Utaambiwa tuma kiasi flani cha fedha ili tukutumie mzigo wako na hapo ndio unapopigwa Shtuka mzee
Hakuna cha London wala nini mchezo wote unachezwa Kenya
Unataka mzigo niambie nikutumie kwa gharama zako ila sio bure ๐Ÿ˜„
Nimewaza tu haya boss wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ