Mwana va Mutwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 460
- 54
ukitaka kujua hayo magari yana mafuta au la waambie chadema watangaze maandamanoJK hana pesa za kuwalipa wazee serikali imefirisika mfano Wanajeshi hapa Arusha hawaendi kazi kwa sababu ya ukata, wanaonda niwale wanao bahatika kudandia mabasi ya Mtei lakini malori yao yamepark hayana mafuta itakuwa za kuwalipa wazee.....