Mwana va Mutwa JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 460 Reaction score 54 May 29, 2011 #21 Crashwise said: JK hana pesa za kuwalipa wazee serikali imefirisika mfano Wanajeshi hapa Arusha hawaendi kazi kwa sababu ya ukata, wanaonda niwale wanao bahatika kudandia mabasi ya Mtei lakini malori yao yamepark hayana mafuta itakuwa za kuwalipa wazee..... Click to expand... ukitaka kujua hayo magari yana mafuta au la waambie chadema watangaze maandamano
Crashwise said: JK hana pesa za kuwalipa wazee serikali imefirisika mfano Wanajeshi hapa Arusha hawaendi kazi kwa sababu ya ukata, wanaonda niwale wanao bahatika kudandia mabasi ya Mtei lakini malori yao yamepark hayana mafuta itakuwa za kuwalipa wazee..... Click to expand... ukitaka kujua hayo magari yana mafuta au la waambie chadema watangaze maandamano
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 903 May 30, 2011 #22 FaizaFoxy said: Kuwadhibiti wafanya fujo Arusha. Click to expand... Kwa mila na desturi za kibinadamu, kumpiga mzee sawa na mzazi wako ni kujitafutia laana! Magamba yanazidi kuleta laana nchini!
FaizaFoxy said: Kuwadhibiti wafanya fujo Arusha. Click to expand... Kwa mila na desturi za kibinadamu, kumpiga mzee sawa na mzazi wako ni kujitafutia laana! Magamba yanazidi kuleta laana nchini!
K kibajaj Senior Member Joined Apr 12, 2011 Posts 106 Reaction score 26 May 30, 2011 #23 pesa alifanyia kampeni na hao askari wenyewe wana loopholes za rushwa ndo mana!