Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ni aina ya dua but very darkKafara Siyo Dua 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aina ya dua but very darkKafara Siyo Dua 🐼
DuuuhWanachama wa ACT WAZALENDO wamefanya dua ya kuchinja ngamia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mambo makubwa waliyosema ni kwamba kumekuwa na tabia ya kukata majina ya wagombea na kutangaza mtu ambaye hajashinda safari hii Kila kitu wamemwachia Mungu ndiye ataamua ugomvi.
View attachment 3158750
Mkuu angalia pm yako please.Ila waislamu na uchawi
Jo wewe huogopi uhuni unaofanywa hata kupelekea watu wanaofanyiwa uovu kuwaombea mabaya wafanya uovu ama ni miongoni mwa watenda huu uovu?Haya mambo huanzaga hivi hivi, mara Kura za maruhani, mara Kisomo Cha Tanga na sasa Dua ya Ngamia
CUF na ACT Wazalendo ni vyama vyenye Wanachama Waislamu, Wakristo na Wapagani kwanini sasa Serikali haikemei hizo Dua ya Ngamia
Ufafanuzi wa hiyo Dua ni kwamba baada ya Uchaguzi kuna Watu watakuwa vichaa
Nimeogopa sana 🐼
Mimi naogopa Nchi ikiwa ya Kidini kama Afghanistan 🐼😂Jo wewe huogopi uhuni unaofanywa hata kupelekea watu wanaofanyiwa uovu kuwaombea mabaya wafanya uovu ama ni miongoni mwa watenda huu uovu?
Basi kwa mwendo mbovu na uelekeo mbaya unaochochewa na wanaoamini wana haki miliki ya taifa letu tutafika huenda zaidi ya unachokiogopa wewe.Mimi naogopa Nchi ikiwa ya Kidini kama Afghanistan 🐼😂
ni vizuri wakaachwa wakaabudu kwa uhuru wao kadiri ya imani yao, ilimradi hawavunji sheria..Haya mambo huanzaga hivi hivi, mara Kura za maruhani, mara Kisomo Cha Tanga na sasa Dua ya Ngamia
CUF na ACT Wazalendo ni vyama vyenye Wanachama Waislamu, Wakristo na Wapagani kwanini sasa Serikali haikemei hizo Dua ya Ngamia
Ufafanuzi wa hiyo Dua ni kwamba baada ya Uchaguzi kuna Watu watakuwa vichaa
Nimeogopa sana 🐼
kama imekuwa ya kudikiteitaaaaaaaaaa, wacha iwe ya kidini, bladiccmHaya mambo huanzaga hivi hivi, mara Kura za maruhani, mara Kisomo Cha Tanga na sasa Dua ya Ngamia
CUF na ACT Wazalendo ni vyama vyenye Wanachama Waislamu, Wakristo na Wapagani kwanini sasa Serikali haikemei hizo Dua ya Ngamia
Ufafanuzi wa hiyo Dua ni kwamba baada ya Uchaguzi kuna Watu watakuwa vichaa
Nimeogopa sana 🐼
Naona Ngamia kasaidia kupata kura! Ila sasa wanamchinjia wa dini yao kweli, maana haya yote yana baraka za Samia.Chama cha ACT Wazalendo mkoani Kigoma kilifanya dua ya kuchinja Ngamia ili kuombea dhuluma mbalimbali zinazofanyika wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu kila baada ya miaka mitano.
Mwenyekiti wa ACT Kigoma Bw. Alphan Bona, amesema kuwa dua hiyo ni maalum kwa yeyote atakayefanya udanganyifu wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kwa upande wa wanachama wa ACT Wazalendo wakiendelea na dua hiyo ya kuchinja Ngamia, wameitaka Tume ya Uchaguzi kutenda haki ili uchaguzi uweze kuwa wa huru na haki.