Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

Msiwe wajinga na wapumbavu kiasi hili jamani mnajiabisha!

Hii mvua iko dar nzima, kwa hiyo hao wachawi wa kawe ndio wameleta hii mvua sababu ya hiyo?

Mwaka jana mvua katika jiji la dar zilianza mwezi wa 9 na zikaunganisha na masika. Haya napo hao wachawi wenu wa kawe walikuwa wanatuma ujumbe gani kwa nani?..

Afrika tabu sana ndio maana Amsterdam anataka kuingoza nchi kwa kupitia Lisu.
ngoja siku ukiwa un-drive wazee wakutumie mvua iwe inanyesha juu ya gari yako uku jua kali linawaka, na kwingine kote hamna inanyesha juu ya gari yako tu kila unapokwenda inakufata, ukisimamisha gari unasimama nayo ukiendesha unaenda nayo, apo ndio utaamini
 
Unaongea ujinga wa kusifu ushirikina na washirikina.
Watu wenyewe unaowasifia hawana mbele wala nyuma maana kama ndumba zinawatumikia basi si wangepiga miluzi tu na pesa za benki zinapiga foleni chumbani badala ya kwenda kuvua?
Na huo usafiri wa daladala ati anapewa pesa badala ya kutoa nauli!

Very stupid and low thinking in the sense of personal achievement.
ujinga huo waambie wenzio wasioenda shule, kwani kwao kila kitu ni miujiza.

Na kama mmemzindika Halima kwa huo ushirikina basi msubiri mluzi wake.
Hujawahi kuwa na 'Akili' hapa Jamvini ( JamiiForums ) tokea nikufahamu na leo hii ungeandika Kitu 'very Sensible' ningeshangaa na kutoamini pia.

Cc: mtu chake
 
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki Kuwaweka hapa hadharani hawa Wazee ila najua Watu wa CCM Kawe wanawajua vyema kabisa tu.

Na ni Wazee ambao Kawe nzima wanasifika kwa ‘Ndumba’ ambapo kuna Mmoja wao kama akitoka Kuvua zake Samaki Baharini anawauza ndani ya dakika 30 tu wakati wenzake watawamaliza Kesho yake au Keshokuta na kuna mwingine Yeye akiamua Kawe Mvua inyeshe au isinyeshe inakuwa hivyo hivyo. Na kuna Mwingine akipanda Daladala badala ya Kondakta amdai Nauli Yeye Kondakta ndiyo anampa Pesa.

Kwakuwa Mimi ni Mjukuu Wao na huwa nashinda nao mara kwa mara katika Kijiwe chao Kikuu cha Kucheza ‘ Bao’ huwa Napata bahati ya ‘Kuwachokoza’ na hata ‘Kuwatania’ na nakumbuka asubuhi ya leo nilipowauliza kuwa ‘Ugeni’ wa Kesho Kawe wanaujua na wanaupokeaje haya ndiyo yalikuwa majibu yao..

Wewe GENTAMYCINE waambie hao Wenzako kuwa Kawe ina wenyewe na huwezi tu ukaja hapa kutaka kufanya Kazi zako za Kisiasa ili umsafishe Mpuuzi Mmoja aliyewatukana Waislamu na bado anaendelea tu Kutuonyesha Jeuri zake. Nasikia alienda kwa Kadinali Pengo ila mbona Kwetu hajaja? kwahiyo Pengo na Wakatoliki ndiyo wenye Kawe na Tanzania hii? Hii Mvua tutaongezea Spidi hadi wakome

Tokea juzi tumeanza kuona kuna Maandalizi hapo Tanganyika Packers ila nakuambia kama hao CCM Wenzako huyo sijui Magufuli, Bashiru na Polepole hawaji kutuona Sisi Wazee wa Kimila Kawe basi watafute mahala pengine wa Mkutano wao kwani hii Mvua tukiwasamehe sana tutaisitisha Alhamisi Usiku na wakikutishia tu wanaweza wote kujikuta Wanaogelea zao tu Baharini Kawe

Naona kuna Watu wametoka zao huko Vijijini Kufuga Ng’ombe zao wengine Kukata Michongoma na mwingine Kusahihisha tu Mitihani Chuoni hawajajua kuwa kwa Mkoa mzima wa Dar es Salaam Kawe ndiyo Makao Makuu ya Ndumba / Uchawi. Wakitaka tuiachie hii Mvua Kesho JPM asimsafishe huyo Mpuuzi na tupewe sababu kwanini Yule Binti kapigwa Pini wakati alikuwa akitupigania mno tu

Mjumbe hauwawi na Mimi GENTAMYCINE nimeona nisikae Kimya na niwafikishieni wana CCM Wenzangu huu Ujumbe wao hawa Wazee wa Kawe.
Acha kuwalisha maneno
 
Mpka apa tusha waona wazee wa mila na wewe wote wapuuzi ,akuna mvua yoyote ilio zuwia campeni ,endeleeni kupotosha watu tunaenda na gwaji
 
Fuatilia makala zangu, mimi CCM Original siyo copy.Na sijipendekezi kwa mtu yeyote.
Sasa Wewe ukijitapa / ukijimwambafai hapa kuwa ni CCM Original je, Mimi GENTAMYCINE ambaye nimezaliwa, nimekulia na naishi CCM nisemeje?
 
Msiwe wajinga na wapumbavu kiasi hili jamani mnajiabisha!

Hii mvua iko dar nzima, kwa hiyo hao wachawi wa kawe ndio wameleta hii mvua sababu ya hiyo?

Mwaka jana mvua katika jiji la dar zilianza mwezi wa 9 na zikaunganisha na masika. Haya napo hao wachawi wenu wa kawe walikuwa wanatuma ujumbe gani kwa nani?..

Afrika tabu sana ndio maana Amsterdam anataka kuingoza nchi kwa kupitia Lisu.
Tena jiji lililoongozwa na hao hao machadema kwa miaka mitano iliyopita.
 
Gwajima Yuko Kama ulaya ya Dark
IMG_20201014_111251.jpg
 
Back
Top Bottom