Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

ngoja siku ukiwa un-drive wazee wakutumie mvua iwe inanyesha juu ya gari yako uku jua kali linawaka, na kwingine kote hamna inanyesha juu ya gari yako tu kila unapokwenda inakufata, ukisimamisha gari unasimama nayo ukiendesha unaenda nayo, apo ndio utaamini
 
Hujawahi kuwa na 'Akili' hapa Jamvini ( JamiiForums ) tokea nikufahamu na leo hii ungeandika Kitu 'very Sensible' ningeshangaa na kutoamini pia.

Cc: mtu chake
 
Acha kuwalisha maneno
 
Mpka apa tusha waona wazee wa mila na wewe wote wapuuzi ,akuna mvua yoyote ilio zuwia campeni ,endeleeni kupotosha watu tunaenda na gwaji
 
Watu 'Wapumbavu Wapumbavu' kama Wewe hupenda sana 'Kujipendekeza' kwa 'Watawala' ili ikiwezekana basi 'Watambaliziwe' nao vile vile tu.
Fuatilia makala zangu, mimi CCM Original siyo copy.Na sijipendekezi kwa mtu yeyote.
 
Fuatilia makala zangu, mimi CCM Original siyo copy.Na sijipendekezi kwa mtu yeyote.
Sasa Wewe ukijitapa / ukijimwambafai hapa kuwa ni CCM Original je, Mimi GENTAMYCINE ambaye nimezaliwa, nimekulia na naishi CCM nisemeje?
 
Tena jiji lililoongozwa na hao hao machadema kwa miaka mitano iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…