Hii ni timu ya makonda na pombeWazee wa klabu ya Simba wamemuomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ampeleke CAG kupitia na kuikagua Klabu ya Simba ikiwemo kupitia sheria kandamizi na za kibaguzi katika michezo.
Wazee hao wameonesha kutokubaliana na Mkutano mkuu wa Klabu hiyo Jumapili unaotarajiwa kufanya mabadiliko ya katiba wakidai mkutano huo ni batili kwani viongozi wa klabu hiyo wamekwisha ibadili katiba wao peke yao na wanachotaka ni wanachama kuipitisha tu kinyume na sheria inavyowataka kuunda rasimu kwanza na wanachama waisome watoe mawazo yao ili ipitishwe na kuwa Katiba.
Wazee hao Wamepinga rasimu ya Katiba ya klabu hiyo toleo la mwaka 2016 wakidai imepitishwa kinyume na sheria za nchi wanataka itambulike Katiba ya mwaka 2014.
Chanzo: ITV
Kheee utapeli wake unaujua?Mo tapeli sana
Mungu wabariki wazee wa Simba
Mdhamini wa Yanga analipa pesa kupitia bank gani?Wasikilizeni wazee sio kukimbilia kuwa wanatumiwa na upande wa pili hivi ni kwanini kila tatizo linapotokea simba mnakimbilia upande wa pili kwani Kilomoni alikuwa anatumiwa na Yanga wasikilizeni wazee Kilomoni aliwatahadharisha kuhusu ujanja wa Mo kuhusu b20 mkampuuza sasa unaambiwa hela hiyo imewekwa kwenye benki isiyojulikana ba Mo kaondoka kweli Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda ni gharama
Habari ya 2018 ulivyoishadadia sasa utadhani ya janaWasikilizeni wazee sio kukimbilia kuwa wanatumiwa na upande wa pili hivi ni kwanini kila tatizo linapotokea simba mnakimbilia upande wa pili kwani Kilomoni alikuwa anatumiwa na Yanga wasikilizeni wazee Kilomoni aliwatahadharisha kuhusu ujanja wa Mo kuhusu b20 mkampuuza sasa unaambiwa hela hiyo imewekwa kwenye benki isiyojulikana ba Mo kaondoka kweli Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda ni gharama