Wazee wa klabu ya Simba wamuomba Rais kumpeleka CAG kukagua klabu hiyo

Mabwaku..tuliwaambia msimlete Magu mkatubishia na atatumbuliwa MTU....na nyie Simba mnauzaje timu kwa gabachori???kama mnauchungu na timu yenu si mchange hiyo 20B..watu 400,000 watoe 50,000 mnapata 20B...Sisi Yanga ndio tunataka kufanya hivyo alafu mtu aibe hata kumi hiiiiiii#hakunajinsiwatumbuliwetu
 
Wazee hao wasikilizweee wanahoja leo hii karibu uongozi mzima upo jela kwa upigaji dili
 
Wazee wa klabu ya Simba wamemuomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ampeleke CAG kupitia na kuikagua Klabu ya Simba ikiwemo kupitia sheria kandamizi na za kibaguzi katika michezo.

Wazee hao wameonesha kutokubaliana na Mkutano mkuu wa Klabu hiyo Jumapili unaotarajiwa kufanya mabadiliko ya katiba wakidai mkutano huo ni batili kwani viongozi wa klabu hiyo wamekwisha ibadili katiba wao peke yao na wanachotaka ni wanachama kuipitisha tu kinyume na sheria inavyowataka kuunda rasimu kwanza na wanachama waisome watoe mawazo yao ili ipitishwe na kuwa Katiba.

Wazee hao Wamepinga rasimu ya Katiba ya klabu hiyo toleo la mwaka 2016 wakidai imepitishwa kinyume na sheria za nchi wanataka itambulike Katiba ya mwaka 2014.

Chanzo: ITV
Hii ni timu ya makonda na pombe
 
Wazee wa Simba tunajua mna hoja za msingi..lakini mnatakiwa mkubali mabadiliko na staili ya uongozi.
 
Mungu wabariki wazee wa Simba

Wasikilizeni wazee sio kukimbilia kuwa wanatumiwa na upande wa pili hivi ni kwanini kila tatizo linapotokea simba mnakimbilia upande wa pili kwani Kilomoni alikuwa anatumiwa na Yanga wasikilizeni wazee Kilomoni aliwatahadharisha kuhusu ujanja wa Mo kuhusu b20 mkampuuza sasa unaambiwa hela hiyo imewekwa kwenye benki isiyojulikana ba Mo kaondoka kweli Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda ni gharama
 
Mdhamini wa Yanga analipa pesa kupitia bank gani?
 
Wasikilizeni wazee sio kukimbilia kuwa wanatumiwa na upande wa pili hivi ni kwanini kila tatizo linapotokea simba mnakimbilia upande wa pili kwani Kilomoni alikuwa anatumiwa na Yanga wasikilizeni wazee Kilomoni aliwatahadharisha kuhusu ujanja wa Mo kuhusu b20 mkampuuza sasa unaambiwa hela hiyo imewekwa kwenye benki isiyojulikana ba Mo kaondoka kweli Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda ni gharama
Habari ya 2018 ulivyoishadadia sasa utadhani ya jana
 
Mirija ya upigaji ikizibwa kila mtu anaongea lake.....
 
Back
Top Bottom