Wazee wa kuamsha popo, mpo kiwanja gani leo?

Wazee wa kuamsha popo, mpo kiwanja gani leo?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo.

Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya.

Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo mnaonyemeleaga meza za wateja, mkae mbali na meza yangu.

Nikifika huko kiwanjani, muhudumu atakayekuwa ananihudumia, nitamwambia nimekuja mwenyewe na ahakikishe naondoka mwenyewe.

Aya, twendeni viwanjani.

 
Back
Top Bottom