Virtual games mzee zipo za kutoshaKutokana na janga la Covid 19, kuna vitu vingi vimesimamishwa ili kuepusha maambukizi. Mipaka ya baadhi ya nchi imefungwa. Hakuna kuingia wala kutoka.
Kuna biashara zimefungwa mfano ni Samaki Samaki na baadhi ya hoteli. Kwenye michezo, ligi zote zimesimamishwa.
Sasa najiuliza kwa wale vijana tuliokua tunategemea betting kusongesha maisha yetu tuna hali gani hivi sasa? Au tumerudia zama zetu za kamali na pool tables?
Nimeuliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee huko hapafai playstation tena atari mkuu๐๐Watu wanacheza Game izo kwa Playstation mzee hata livescore au sofa score hazipo๐๐๐