Wazee wa kuchakachua

hahahahahahhaaaaaah, daaaah , thats why nalipenda hili Jukwaa.
 

mwaka huu ccm wanweweseka , hata hili nalo la kuchakachua,
 
Nilikuwa sijaelewa ina maana gani.

Mkuu kweli una macho maana ndiyo kwanza naona kuwa kuna watu wanarudiwa mara kibaooo...

Duuu, hii ni kiboko....

 
Duh kwisha habari yao CCM. Hwatafika mbali. wako ICU oyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Umeifanya siku yangu iwe ya amani sana na kujua kuwa mambo yamekuwa magumu sana kiasi kwamba wanachakachua hata picha ili tuone wako wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…