Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Pamoja na iyo text, Katunuku?Salma mwenyewe kama kamuonea huruma flani mwamba.
Ungegeuza kibao kuwa ulikuwa unampima kama anakupenda kweli. Ulimkatili mwamba.Nimekumbuka mbali, jamaa alikuwa ananitongoza then nikawa namsimulia shost huku tunamsimanga. Si nikakosea text ya masimango nikamtumia mwenyeweπββοΈ Akanijibu "umekosea msg ukanitumia mimi". Weeeeh niliona aibu nikablock na nambaπ€£π€£π€£
Hahaaa! Akili hiyo haikuja.Ungegeuza kibao kuwa ulikuwa unampima kama anakupenda kweli. Ulimkatili mwamba.
Nini kiliendelea?
Ningekuwa mimi hata uniblock nakuja na namba nyingine.Hahaaa! Akili hiyo haikuja.
Tena kwa Jinsi Salma nilivyomwelewa leo atachanganyikiwa hasa na penzi atakalo pata.Mtoto amenimaliza mno moyo wanguπππOngeza meseji nyengine chini
"Fanya mpango wa kama 50000 hivi kaka si unajua uyu ndie shemeji wako wa kweli sitakiwi nimwangushe nipo hovyo braza"
Kesi nyepesi sana hii meseji ilikua inaenda kwa rafiki yako au bro wako
π€£π€£π€£ sasa akili ya kujitetea sikuwa nayo, hiyo nayo ningeiblock.Ningekuwa mimi hata uniblock nakuja na namba nyingine.
Nakujia kwenu kavukavu.π€£π€£π€£ sasa akili ya kujitetea sikuwa nayo, hiyo nayo ningeiblock.
Huyu ashaanza kutangaza hata kablaπββοΈπββοΈπββοΈShida sio hilo boko, shida ni kukosa kifua
Miaka ya zamani ikitokea unatembelewa na Manzi magetoni, hata jirani wa Chumba cha pili hawezi kujua
Mtoto ataingizwa usiku Mnene, na atatolewa usiku Mnene pia
Wakati wa mambozi akiwa anajua kuililia basi, basi tunafungulia redio mkulima Kwa sauti ya juu ili kufuta ushahidi π€
Mwaka 47
π€£π€£π€£π€£ huo sasa ukorofi.Nakujia kwenu kavukavu.
Mademu wengine bila kofosi hamjai kwenye mfumo, ni undava tu ndio dawa yenu.π€£π€£π€£π€£ huo sasa ukorofi.