Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

Huyu ashaanza kutangaza hata kablaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Jando lirudishwe.
Jando lirudiwe tu Kwa kweli

Yaani kabla mtoto hajaingia magetoni(kama wanavyoita Vijana), jamaa ameshatangaza Kwa Wana

Kifuatacho akiwa na Wana wapenda deo, Shemeji anakuja kutoa deo la bila kiingilio Kwa Wana πŸ˜œπŸ™Œ
 
Ni huzuniπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…