Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Wewe ni wakiume au wakike ??Kuomba namba barabarani kwa mtu usiyemjua ni hatua mbili kabla hujawa kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni wakiume au wakike ??Kuomba namba barabarani kwa mtu usiyemjua ni hatua mbili kabla hujawa kichaa
Aisee nimecheka😄binafsi sijawahi mnyima mkaka namba mladi tuu nimemuelewa as long as nipo singo nitatoa namba yangu tena nakuaga makini nisije kosea😂Kuna vile vidada ukikiomba namba kinasema hakikujui halafu kikiwa mtani kwake kinasema hakiwezi kudate na mtu wa mtaa mmoja, sijui vinapata vipi wapenzi.
Kwahiyo umekutana na mtu haumjui hakujui unafanyaje unamtazama?Kuomba namba barabarani kwa mtu usiyemjua ni hatua mbili kabla hujawa kichaa
Vya namna hiyo huwa ni vidangaji kwann akatae mtu ambaye wanaishi eneo moja it means kana kwepa aibu.Kuna vile vidada ukikiomba namba kinasema hakikujui halafu kikiwa mtani kwake kinasema hakiwezi kudate na mtu wa mtaa mmoja, sijui vinapata vipi wapenzi.