Wazee wa kukimbia bill bar tukutane hapa kwa new tactics & teqniques

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Hawa jamaa tunawapaga faida sana , halafu hawakumbukagi kabisa kurudisha fadhila kwa wateja wao.
Sasa njia ni nyepesi , Ukinywa wiki siku ya nane unalamba za bure.

Njooni tupeane namna ya kuondoka Bar bila kuaga wala kushtukiwa [emoji1] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji1].

[emoji482] Cheers .
 
Ukifika Bar agiza tena kwa ukali kama utapiga beer tano basi anza moja moja ukifika ya tano agiza nyingine afu kunywa kidogo sasa hapo fanya kama unaenda chooni au unapiga simu muudumu ataona bado unakinywaji hivyo hata shtuka sasa huo ndo muda wa kusepa ....
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
 
hii mbinu nimeipenda na nitaifanyia practical pale kwenye bwalo la FFU au JWTZ kujipima ufanisi wa kuitekeleza mbinu hii adhimu bila uwoga.

Kama nikimudu huku kwa wafunga buti wenye sumu huku uraiani nitakuwa na confidence ya nchi za nje kinyerezi.
 
Sasa wewe ndo master^2 .....[emoji1]
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
 
Lazima uwape faida si mwenyewe unapenda bia? Ya mini kuwatia hasara wenzako?
 
hii mbinu nimeipenda na nitaifanyia practical pale kwenye bwalo la FFU au JWTZ kujipima ufanisi wa kuitekeleza mbinu hii adhimu bila uwoga.

Kama nikimudu huku kwa wafunga buti wenye sumu huku uraiani nitakuwa na confidence ya nchi za nje kinyerezi.
Watu mnakuwa wa ajabu kwa nini?
 
Msifanye hivyo ni jambo baya sana kufanya hii dhuluma... Hasara hapati mmiliki bali mhudumu maskini atakayekatwa mshahara wake wa sh elfu 70 kufidia deni
Mimi huwa nalipa sometimes na ziada.. Angalieni msichume nuksi bure
 
Pamoja na unywaji wangu wote sipendi kukimbia bill na natoka home nishajiandaa,ila kitu ambacho sikiwezi ni kukutana na demu bar na kuanza kumnunulia pombe bora ninywe weeeee hadi nitambae ila si kumnunulia demu
Pombe unakunywa kwa raha zako alafu unakimbia bill?
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
Mmh kumbe haya mambo ni kweli watu wanafanya
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
Kama sio Masai sijui
 
Umesahau, wakati analeta hiyo ya tano agiza pia mchemsho wa kuku na ndizi nne...
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…