Wazee wa kukimbia bill bar tukutane hapa kwa new tactics & teqniques

Hizo tano za mwanzo ukibanwa pesa mbele ni hasara kwako.
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
Atakuwa ni huyu mleta uzi...
 
Siku moja nilikua Nyegezi Mwanza kuna bar jirani na nilipokuwa naishi. Kuna mhudumu nilimkuta analia....mtoto mzuri wa Kimbulu na lafudhi yake ya kwao. Analia na kulalamika kwa jamaa mwenye tabia ya kugomea kulipa bill zake...anaweza kunywa 5 akadai amepiga 2 tu na anagoma kweli na halipi. Yule mhudumu akawa analia siku hiyo tena akakatwe mshahara....anasema "unadhani mi nimetoka Karatu kuja kujiuza hapa, nitaishije mie...kila siku mshahara unakatwa...mwisho wa mwezi sina kitu. Nijiuze ndio niishi...maisha haya mpaka lini? Siwezi kwa kweli leo utalipa...hapana sijaja hapa kujiuza."

Huruma ikanijia...nilikua na wahuni wangu tulimkwida jamaa akalipa.

Kadem ni kazuri balaa.
 
Kwa uzoefu wangu kunywea kaunta ni rahisi sana kuacha imeo. Ukiwa na elfu tano unaelewa hatari. Unatoa ela una agiza 2. Moja yako moja ya kaunta ina baki buku au inaisha then unaanza mbili mbili tu na yeye anakunywa ukitosheka unamwambia akuwekee moja moja asifungue mpk utoke toi. Then cha mbele. Usifanye kama Huna ela ya ziada lkn
 
Duh! Hahahaha hongera mkuu
 
Watu mnakuwa wa ajabu kwa nini?
Ajabu inatoka wapi hapo sasa mzawa?

Tunajaribu confidence and skills kwa watabe.

Ila inatiaga huruma sana kumkacha mtoto wa kike anaekuhudumia maana haumuathiri mmiliki bali yule mhudumu maskini.

Ilishawai kunitokea nilikula na kunywa soda nikasahu kulipa then after 3 days nikarudi na kula tena ..yule Dada alienihudumia ndo kanihudumia tena na hakukumbuka..nikajifanya kumpa 12000/= kama tip ya kunihudumia kumbe namwonea huruma naziba mwanya wa ile hela ambayo nilisahau kulipa awali..alinipenda hadi anataka kunipa ile kitu "inamesa mwensie" akiamini Mimi Mzungu kasoro rangi. Tuwalipe guys hawa wadada wana majukumu mazito sana. Maana baadae alinisimulia kumbe ana watoto wawili anawahudumia. Loh!

Hakujua!
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
Mkuu hii ni mbinu ya kivita
 
Huku kwetu hupati kilevi bila kufanya malipo kwanza embu leteni mbinu juu ya hili
 
hii mbinu nimeipenda na nitaifanyia practical pale kwenye bwalo la FFU au JWTZ kujipima ufanisi wa kuitekeleza mbinu hii adhimu bila uwoga.

Kama nikimudu huku kwa wafunga buti wenye sumu huku uraiani nitakuwa na confidence ya nchi za nje kinyerezi.
labda uwe mwenzao
vinginevyo ambulance wajiandae.
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
Hii noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…