Wazee wa kukimbia bill bar tukutane hapa kwa new tactics & teqniques

Hukuunga urafiki nae kweli?
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
Ahahaaa nimecheka sana
 
Afadhali wewe ulikua muungwana na kurudi nyuma kusawazisha
 
Vya bure naviogopa sana, maana ukianza hapo utahamia kwa vingine kwa kudai kwanini uvilipie!
Hapana mkuu..
 
Hahaaa ni kweli maana akiondoka tu bila kulipa imekula kwako na bahati mbaya mfukoni uwe na pesa ya Bia 2 tu na umekunywa mpk 5 kwa sababu ni offer [emoji1] [emoji1]
Urafiki wa walevi wa unafiki...
 
Hukuunga urafiki nae kweli?
Hapana....nikiamua kitu huwa sifanyi hata iweje. Nishawahi rudi club na mwanafunzi wa SAUT analalamika hana usafiri na rafiki yake mwenye funguo za chumba chao sijui kaenda kudanga wapi simu yake haina salio,nikampa yangu kapiga hakupata majibu akaniganda mpaka ghetto. Nikalala naye asbh nikampiga na chai nzuri mayai, sausages,mkate na madiko diko mengine. Sikumfanya kitu. Nikampa na buku 2 akapande daladala asepe. Nikiamua langu huwa linakuwa.
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
Sasa huyo ndio sensei mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Really? Sio kwamba hakukuvutia tu?
 
Really? Sio kwamba hakukuvutia tu?
Anafaa sana kwa matumizi ya binadamu. Basi sikuwa na mzuka naye kipindi hicho nilikua nastress sana.

Kuna siku nimetoma mkoa to Dar nlikua na case fulani nimekuja kuisikiliza mimi ndio mtuhumiwa. Pale ubungo demu niliyekaa naye kwenye siti naye hana pa kwenda. Usiku saa 6....huyu sikwambii nilimfanya nini....lakini juwa tu nilikua nawaza case ya kesho yake. Stress tupu.
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
Aisee hii ya kwako ndo nipo bar hapa nataka niijaribu. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nilikuwa baa moja Mkwajuni nikiwa na fedha ya bia mbili tuu.mara jamaa jirani ambaye simjui akanikataza kulipa akidai atanilipia.
Akaniagizia nyingine tano na kanzisha mazungumzo , mwisho akatoroka na kuniachia bili yake na yangu.
Tahadhari
Mkuu itakuwa ni huyu jamaa hapa chini ndo alikutoroka [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
 
Kuna jamaa namdai hela mingi tu, ndo nimempigia simu aje nimuachie msala
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
HAHAAAAA AISEEE KWELI MMEVURUGWA DAAHH
 
Unaunga urafiki na fala yoyote hapo bar anaeshangaa shangaa!unaagizia unakunywa fasta na huyo fala unamuagizia safari moja!wakati anakunywa unainuka unatoka nje muhudumu atajua utarudi sababu ya yule mwenzio fala.unamueka bondi hapo
hahaaaa manina wallahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…