Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama sijamaliza naapgrade mda wowote Nina pafyume zaidi ya Tano na zote mpya
Kuna mzigo nimeonesha ushatua bandarini upo Yard sahivi hapa. Ndo naumiza kichwa sina pesa ninautani kwenda kuuchukua kutokana na qualifications zako hili bifhaa ni zaidi ya hatari kitu kinaitwa DUNHILL 50k naona hadi aibu . Naona parefu hapo Lkn ndo moyo ushapenda tyar
Note. Mm huu ndo ugonjwa wangu sio mtu wa gambe,mademu wala mm starehe yangu Smart na Kunukia vizuri
Wadau na nyie mje muone mzigo mpya mjini huu hapa unadumu na harusu amazing.