Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa washindi. Leteni ahadi hizo jioni kesho kuchangamke🤣🤣.
====
Mods muda ukifika wapewe haki zao
- Uchambuzi: Simba ikimfunga Yanga nipigwe ban wiki