mamboWakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa washindi. Leteni ahadi hizo jioni kesho kuchangamkeš¤£š¤£.
Haa wakuchangamshe akili na mwili, watakuchangamusha mwili endapo utaamua kurukarukaWakuu,
Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?
Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho?
Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa washindi. Leteni ahadi hizo jioni kesho kuchangamkeš¤£š¤£.
Wakuu,

Anaweza kujipiga ban atakapo amua kutoingia jf ama kuto kununua bundle la internetSimba na Yanga ni chanzo cha tatizo la afya ya akili.
Labani og kashasema Yanga ikifungwa apigwe BAN la wiki nzima
Ngumu sanaAnaweza kujipiga ban atakapo amua kutoingia jf ama kununua bundle la internet