Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wale wanaojifanya ni wazalendo na wazee wa legacy ya mwendazake wengi wao ni mafukara wakubwa.
Wamepambana na maisha wamechoka na wamekata tamaa wamebaki kuwachukia matajiri wakihisi matajiri kama akina Rostam Aziz ndio wanaokula riziki zao.
Aisee wazee pambaneni kama bado upo hai haina haja ya kuwachukia matajiri pambana mpaka tone lako la mwisho na ufe kishujaa ukiupigania uchumi wako.