Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wamo humu kila siku kuanzisha thread za kumsifu na kumtukuza mwendazakeSasa huu ujumbe utawafikiaje hao wazee?
Zile zilikuwa ni chuki tu mkuu sio kila tajiri ni mwiziHaa π€£π€£πππ€£
Unataka Kumsema Vibaya Shujaa, Mzilankende Chuma Alisema Anataka Kuhakikisha Matajiri Yanaishi Kama Masikini Na Majizi Nitalala Nayo Mbele
Yule Baba Tutamkumbuka Kwa Mengi SanaWamo humu kila siku kuanzisha thread za kumsifu na kumtukuza mwendazake
Una ushahidiWengi mnajifanya matajiri mmepata Kwa dhuluma,ndio maana mnaishia kufa vifo vya taabu
Huyu Baba Wakati Wa Uhai Wake Nilihakikisha Sikosi Hotuba Yake Popote AnapokwendaZile zilikuwa ni chuki tu mkuu sio kila tajiri ni mwizi
ππππ€£π€£Sasa huu ujumbe utawafikiaje hao wazee?
Nenda kazikwe naeHuyu Baba Wakati Wa Uhai Wake Nilihakikisha Sikosi Hotuba Yake Popote Anapokwenda
Ila Ndiyo Hivyo Chuma Kimelala Mauti, Chettle Nimefika Mara Moja Ila
Nitakwenda Tena
Haaππππ€£π€£Nenda kazikwe nae
Magufuli anapendwa na wanyonge na watu wenye akili za kimasikini.Mmeddhulumu wanyonge halafu mnawatukana
umegonga mulemuleMagufuli anapendwa na wanyonge na watu wenye akili za kimasikini.
Mtu mwenye akili za kimasikini anaamini tajiri ni mwizi. Kwanini na wewe usidhulumu uwe tajiri kama ni rahisi?
Pesa siyo matakle kila mtu anayo. Pambana ziwe zako
Sikiliza
Siyo kwa ubaya by MwanaFA ft Harmonize
Unamawazo mgando na kimasikini na nyie ndio mnaozaa watoto kama utitiri mkijipa matumaini eti kila mtoto anakuja na riziki yake kwa taarifa yako watu kama akina January makamba leo hii wasingekuwa mawaziri kama wazazi wao wasingejipinda kuwapeleka shule za gharama na kuwatengenezea mazingiraMatajiri wapo ulaya mkuu.
Sio hawa wetu wanaoua tembo na kupakiza twiga kwenye ndege.
Yaani kuwa tajiri usiwe mwizi kwa Afrika nakataa.