Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
nikilogin kwa email bado wanataka niweke na majina yanguwanamonitor mtu mmoja atoe like moja tu.. una log in kwa email, facebook, twitter au linkedin account yako.. kisha unatoa like yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikilogin kwa email bado wanataka niweke na majina yanguwanamonitor mtu mmoja atoe like moja tu.. una log in kwa email, facebook, twitter au linkedin account yako.. kisha unatoa like yako
nikilogin kwa email bado wanataka niweke na majina yangu
nikilogin kwa email bado wanataka niweke na majina yangu[/QUOT
Lazima ufanye registration uwe na profile ila haichukui muda
Yangu ushaipata tayari mkuumajina nimefuta mkuu.. naomba like yako pia
Sawa
Yangu ushaipata tayari mkuu
Sawa ntakupa like yngu
Kwa hii Kazi yako tafuta mtu mwenye ushawishi mkubwa humu JF mpe hii Kazi ya kukunadi na kukuombea watu wakakupe likes zao kule. Itakuwa Kazi rahisi. Mfano Bold ana kijiji kikubwa sana. Akikisisitiza kikapige kura unatusua mapema sana.
Ngoja nikakupe like yako now mkuu
Like tu utapata ngoja tukalike mkuu
I did it all.umefanikiwa?
Mimi nikigonga like inanipa option ya kusign up au kulog in
I did it all.
Kwa hiyo nasign up au nalog inlazima ulog in na email, facebook acc yako, twitter au linkedin
wameweka hivyo ili kumonitor like.. mtu mmoja asirudie rudie kupiga kura