Wazee wa Likes nawaomba humu, Likes zinahitajika nishinde shindano la ujasiriamali

kwa Kweli hamna idea mpya Chini ya jua, nimependa idea ya Yule anayetaka kusaidia afya, hospitalini kuwe na damu kwa waliopingukiwa
 
nikilogin kwa email bado wanataka niweke na majina yangu

wanachotaka hasa usirudie kupiga kura kwa like.. ndio maana wanauliza majina... ila huko ni total.. hata ukiweka jina jf hatuwez kujua
 
okay

 
Mimi nikigonga like inanipa option ya kusign up au kulog in
 
lazima ulog in na email, facebook acc yako, twitter au linkedin

wameweka hivyo ili kumonitor like.. mtu mmoja asirudie rudie kupiga kura
Kwa hiyo nasign up au nalog in
 
Ni kiklik hapo ktk like inakuja sehemu nyingine nambiwa ni SIGN UP
Je apo nakuwa nimesha like au bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…