Wale waalimu wa madrasa walio kuwa wanatembea na wasichana wadogo wameshakamatwa?wamimu wa madrasa noma ndo mana mjomba wangu anafundishia watoto wake homeLeo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu?..
Hahahaaaa........ ameshawavuruga Chadema!Ndio zake huyo, yeye na mwenzake Ritz wameanza kuibuka baada ya mgaratia aliyewabana makende kuondoka zake.
Tunaanza tena kuona siasa za madrasa zinarudi kwenye jukwaa la siasa.
Marhaba.
Wa Aleykum salaam.
Hiyo Madrasaatul Abraar inabidi ipongezwe kitaifa kwa mpango wao wanaouita Abraar Nyumba kwa Wote. Wanatamba kuwa kupitia kwao unaweza kuanza ujenzi kwa Shillingi 2,500 tu. Inashangaza.
Wana uzi wao humu JF unaongelea hilo la kuwezeshana ujenzi. Binafsi nawapa pongezi sana tena na naahidi kuwatembelea ntapokuwa huko.
Hii issue Kenya walishaanza kufanya kitambo....Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu?.....
Mbona umeshadadia sana hili swala.Kwa clips za audio na video na maelezo wanayotoa hao wazee kwenye group lao na hata humu JF wana uzi wao, wanaonesha wanafanya kweli. Mliopo karibu kwanini hamuwatembelei na mkawapa na hayo mawazo mnapoona hawaelekei?...
Karibu tenaSasa ikiwa Manji karudi, mimi ningoje nini kurudi jamvini?
Wale waalimu wa madrasa walio kuwa wanatembea na wasichana wadogo wameshakamatwa?wamimu wa madrasa noma ndo mana mjomba wangu anafundishia watoto wake home
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Kawavuruga kivipi.Hahahaaaa........ ameshawavuruga Chadema!
Itabidi awawezeshe pia wapate exposures za uongozi kama Rais alivyofanya kwa mawaziri, CEOs, RCs, RASs nk. ie wasiishie kwenye level hiyo tu waende mbali hata ualimu wa madrasa nkLeo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu?...
Your mostry wellcomed,Sasa ikiwa Manji karudi, mimi ningoje nini kurudi jamvini?
Huwa inanishangaza hivi kama mwalimu wa dini anabaka content ya anachokifundisha kinajustfy nini ?wabakaji wengi wa madrasa nu wale wavaa vipedo, anko wangu alimkamata mmoja akamfumua marinda yote 32Matukio kama hayo yanatokea kwa wingi sana zanzibar kwa tanzania bara yanatokea ila si sana kivile kwa sababu sheria kidogo inafanya kazi,Visiwani kule tatizo lake kubwa ni kulindana bado wanaishi na ile mifumo ya kizamani, yaani mtu akifanya kosa mfano kabaka unakuta suala linafikishwa polisi baadae wahusika wanaelewa huko mtaani mfano kama ni mtoto aliyebakwa unakuta mzazi wa mshitakiwa na mzazi wa mshitaki wanaelewana kama kesi ilitakiwa iende mbele zaidi sasa hata polisi wanashindwa kuifuatilia kutokana ns kukosa ushirikiano na upande stahiki,Au utakuta bado wana yale huyu ni mtoto wa fulani,mzazi wake tunamjua muache tutaongea na mzazi wake.Sasa ndiyo maana matukio yanakuwa hayaishi sana.Kwa tanzania bara hasa wazazi wakiuwasha moto hilo unalo kweli kama kwenda ndani utakwenda tu.Ukiacha matukio ya ajabu ajabu kama ya huko mikoani na imani za ushirikina ila kwa bara kesi hizo zimepungua mno.Na hilo la ushirikina ni ukosefu wa elimu stahiki tu kama itafika huko mauji yakishirikina yatapungua kiasi fulani japo itakuwa ngumu kuyamaliza kabisa.
Huwa inanishangaza hivi kama mwalimu wa dini anabaka content ya anachokifundisha kinajustfy nini ?wabakaji wengi wa madrasa nu wale wavaa vipedo, anko wangu alimkamata mmoja akamfumua marinda yote 32
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Mlikimbilia wapi?Sasa ikiwa Manji karudi, mimi ningoje nini kurudi jamvini?