Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

Naona watu wameanza kufufuka.#Faizafoxy kwenye mitandao kuna mtu anaitwa Veronica France anatuchafulia sana mheshimiwa wetu mkwere,unasemaje juu ya hili?
 
Dah halafu mwanzo ulianza kumsifu ujue mwendazake.Ila yote kwa yote karibu tena tuendeleze tulipoishia kazi na iendeleee na Mama Samia.
 

Huu ni utapeli.....mmeanza tena eh?
 
Ikifikia juu usisahau kuwanunulia kofia ngumu ili kuepuka madhara yeyote yanayoweza tokea wakti wowote kama ajali
 
Niwapongeze sana kuamua kuikamata Elimu Dunia kikamilifu

Je mna mpango gani wa kuboresha Shule zenu za Sekondari?
 
Umerudi kwa kete ya udini, nyie watu mna inferiority complex sana
 
Hakuna kosa la Lam na Ree hapo. Unajisumbua tu. Hayo makosa ya typo ni kawaida sana kwa mtu anae type faster kama mimi, ulifikiri mimi ni robot sikosei?

Karibu Bibie tuku miss sana,nimeamini Bwana yule alitesa wengi
 
Kwa Mara ya kwanza umeandika objectively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…