Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Ukhty usirudishe hela Kwa mkupuo,rudi kwa step si unaona walichomfanyia Manji.Sasa ikiwa Manji karudi, mimi ningoje nini kurudi jamvini?
Binafsi nilishtuka mpaka kumtumia meseji nikawa naogopa isije kuwa alikuwa chini ya ulinzi 😂😂😂Huyu bibi tulimmis sana. Ama kweli JPM aliwapoteza wengi
Nilipojionea mambo msobe msobe nikajichupia kwenye mabarafu huko ni cool down for a while.Binafsi nilishtuka mpaka kumtumia meseji nikawa naogopa isije kuwa alikuwa chini ya ulinzi 😂😂😂
Ila nchi iliendeshwa kishamba sana
Nalog off
Karibu tena utachangamsheNilipojionea mambo msobe msobe nikajichupia kwenye mabarafu huko ni cool down for a while.
AlhamduliLlah nipo.
Hahahahahahah. Nizitoe wapi hizo hela? hela zangu zote ni za kuuza nazi za Kisiju, kweenye shmba la urithi.Ukhty usirudishe hela Kwa mkupuo,rudi kwa step si unaona walichomfanyia Manji.
Karibu tena kwenye awamu ya sita ya kistaarabu
Nalog off
Mihadhara inayoshambulia na kukashifu imani za wengine huibuka pindi rais akiwa muislamu, hiyo ndiyo hoja yangu.
Wajinga wengiLakini wengi wanasilimu
DefinitelyDo you have to have a reason to be faithful?
Fungua uzi wako, hapa tunazungumzia wazee wa madrasa na harakati za maendeleoMihadhara inayoshambulia na kukashifu imani za wengine huibuka pindi rais akiwa muislamu, hiyo ndiyo hoja yangu.
Asante kwa taarifa hii, hii naichukulia kama news tip, bila media kupewa tip, sisi waandishi hatuwezi kujua. Huu kweli ni mpango wa nyumba kwa wote, lakini ni kwa maeneo tuu ya vijijini, au maeneo yasiyopimwa kama ujenzi wa squatters ili kila mtu apate nyumba, lakini mpango huu kwa maeneo ya mjini, surveyed areas, ujenzi huo ni too local, hauwezi kukubalika!. Mimi tuu sio fundi, lakini kwa macho unaona kabisa udongo ni wa kichanga, unajenga msingi mchangani kwa kufanya compacting ya mchanga, juu ya mchanga na bila compacting machine, mvua ikinyesha kubwa ika raise the water table, huo mchanga wa chini, unaondoka na underground water kwa vile foundation haina stones, bali ni ya compacting bila compactor, mchanga wa chini ukiondoka, nyumba itapiga crack kwenye msingi. Kwa vile ni nyumba za slabs, angalau ni nyumba bora kuliko zile za tope za vijijini kwetu. Please share developmental news kama hizi, the media will pick na kuitangaza hii habari njema Tanzania.Waandishi wa habari mko wapi mambo mema kama haya yanafanywa na wazee wa madrassa hamyatangazi? Hawa Madrassatul Abraar nimepitia hapa JF nimeona wamebuni mpango wa kuwezeshana wanaouita Nyumba kwa Wote ambao wanatamba kuwa haujawahi kutokea duniani, cha kushangaza si wanasiasa si waandishi wa habari wanaokwenda kuona mipango hii ambayo wangewawezesha hawa wazee ingefanywa kitaifa kabisa tena kwa ufanisi mkubwa kabisa.
View attachment 1808538
Wajinga wengi
Pasi na shakaKwahiyo anaesilimu ni mjinga! Tena kwa hiari yake bila kulazimishwa!
Pasi na shaka
BoraUmepotea wewe