Kama gari zikiwa very recent ni sawa.Kama sahizi kodi sio rafiki tu ila watu wanaendesha DWD huko road je kodi ikiwa million 1 si itakuwa foleni inaanzia getini kwako mpaka posta
upumbavu uko wapi hapo?Mambo mengine ni upumbavu yani gari itengenezwe 2010 halafu hadi Leo 2020 miaka 10 toka iwe road iwe na KM 8000???
Na asisahau siku hizi kuna kitu kipya wamekianzisha pale bandarini..!! Ni kwamba unalazimishwa kuyavua matairi yote na uweke mapya, ambayo yanauzwa na kampuni moja imo humo humo bandarini. Yanayotolewa hupewi..!! Bila hivyo hutoi gari..Mara nyingi hizo gari zinakuwa na conditioning ambayo siyo nzuri, utakuta zimekaa muda bila watu kuziulizia. Au ukiongea naye atamwambia sababu za hizo bei.
Pia, utatakiwa kulipa inspection fee, nadhani ni around $200, kuna charge nyingine siikumbiki, sijui insurance inakuwaje siku hizi baada ya sheria kusema tulipie huku Bongo.
Cha ajabu sasa, ukija na hesabu za TRA kwenye kodi, wao wana calculator ambayo si ajabu gari la $500 FOB ukalipa Kodi ya 5m mpaka kulitoa.
Ukichukua $500FOB+$200 inspection + Insurance na freight huwa ni around $1,000 una around $1,800 ambayo ni almost 4m, ukijumlisha na kodi ya 5m tayari ni 9m+.
In any case, huwezi kupata gari ambalo utalipa chini ya 8m mpaka kulitoa. Labda kama una watu TRA au exemption.
Ni simple tu. thamani ya gari za japani kama unalipia bei dola 2000. Basi jiandae Kodi ni Dolla 200 nyingine. Jumla jiandae na dola 4000.Mara nyingi hizo gari zinakuwa na conditioning ambayo siyo nzuri, utakuta zimekaa muda bila watu kuziulizia. Au ukiongea naye atamwambia sababu za hizo bei.
Pia, utatakiwa kulipa inspection fee, nadhani ni around $200, kuna charge nyingine siikumbiki, sijui insurance inakuwaje siku hizi baada ya sheria kusema tulipie huku Bongo.
Cha ajabu sasa, ukija na hesabu za TRA kwenye kodi, wao wana calculator ambayo si ajabu gari la $500 FOB ukalipa Kodi ya 5m mpaka kulitoa.
Ukichukua $500FOB+$200 inspection + Insurance na freight huwa ni around $1,000 una around $1,800 ambayo ni almost 4m, ukijumlisha na kodi ya 5m tayari ni 9m+.
In any case, huwezi kupata gari ambalo utalipa chini ya 8m mpaka kulitoa. Labda kama una watu TRA au exemption.
Hii imeanza lini? wamayavua baada ya kuyapima hayakidhi viwango au vipi?Na asisahau siku hizi kuna kitu kipya wamekianzisha pale bandarini..!! Ni kwamba unalazimishwa kuyavua matairi yote na uweke mapya, ambayo yanauzwa na kampuni moja imo humo humo bandarini. Yanayotolewa hupewi..!! Bila hivyo hutoi gari..
hakuna gari ya 350$. Bei na ushuru vina calculatiwa kutoka kwenye thamani nzima ya gari ambayo ni bei ya chombo na gharama za usafiri.Mkuu ulichokiandika ni sawa ila ushuru ni balaa gari ya $350 ushuru wake ni 4 to 5 miliono
nilichelewa sana kwenda SBT. ukicheki vizuri utifauti wa bei SBT na Beforward ni kwneye Freight cost. Sbt wanatumia RoRo na Beforward wanatumia container. Diference ni karibu Dolla 500- 1000Lakini SBT Japan wapo genuine kabisa na bei ya IST hadi Dar ya mwaka 2004 na mileage ni 50,000 KM ni usd 1,350 imagine
They dont care... Hata kama yamewekwa mapya kabla ya kuanza safari yatokako, utavua tu...Hii imeanza lini? wamayavua baada ya kuyapima hayakidhi viwango au vipi?
mafala hao kumbe😅They dont care... Hata kama yamewekwa mapya kabla ya kuanza safari yatokako, utavua tu...
Magari ya yard wanafanya mchezo wa kuyashusha km wananua yale yenye km kubwa then wanashushakuna watu wanaongea na wauzaji wa moja kwa moja kutoka huko Japana
Ukienda na tairi zako ambazo umenunua mtaani inakuajeNa asisahau siku hizi kuna kitu kipya wamekianzisha pale bandarini..!! Ni kwamba unalazimishwa kuyavua matairi yote na uweke mapya, ambayo yanauzwa na kampuni moja imo humo humo bandarini. Yanayotolewa hupewi..!! Bila hivyo hutoi gari..
Magari ya yard wanafanya mchezo wa kuyashusha km wananua yale yenye km kubwa then wanashusha
Unapitanazo wapi!?Ukienda na tairi zako ambazo umenunua mtaani inakuaje
Same to DUALIS gari ya kiduanzi ila sasa bei yake balaa. Wadangaji huwaambii kitu mbele ya DUALISZimekuwa km takataka na bei zishapanda maradufu.