Wazee wa mapigo na mwendo (Mashujaa FC) hakikisheni Ayubu FC watakaporudi muwapige kwenye mshono

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimechungulia msimamo nimekuta Ayubu FC na Mashujaa Fc bado Wana mchezo mmoja mmoja mkononi ili kukamilisha ratiba ya Nbcpl raundi ya 6.

Mashujaa Fc msituangushe Wanakigoma nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA niliyekaa Bulombora Jkt 821KJ, nikifanya kilimo cha umwagiliaji kupitia ziwa Tanganyika pamoja na kuvuna Chikichi hakika Mimi ni mwana Kigoma shabiki kindaki ndaki wa Mashujaa Fc.

Ayubu FC watakapotoka misri watakua wamekoga Magoli ya kutosha na ni matumaini yangu wazee wa mapigo na mwendo(Mashujaa Fc) mtapiga kwenye mshono Tena mkilipiza kisasi Cha kudondosha point 3 muhimu mlizozipoteza kutoka kwa JKT Tanzania.

Mashujaa Fc tupo nyuma yenu Wanakigoma tunawatemea hakika hamtotuangusha na tunategemea kuwaona top 4.
 
Mwaka huu hakuna team itakayoisaidia uto kuifunga Simba ,ukiutaka ubingwa mfunge wewe ni mwendo wa tatu Kwa tatu ,Kisha utamjua Roberthihno kwenye tarehe 5 ,#kama unaweza mfunge wewe
 
Mwaka huu hakuna team itakayoisaidia uto kuifunga Simba ,ukiutaka ubingwa mfunge wewe ni mwendo wa tatu Kwa tatu ,Kisha utamjua Roberthihno kwenye tarehe 5 ,#kama unaweza mfunge wewe
Hii post usije kuikimbia.
 
Naunga mkono hoja
 
Kaka anaishusha sana hadhi ya Jamii Forum kwa NYUZI zako za kishabiki zisizo na maana na UTOTO Mwingi.

Huwa UNAANDIKA UPUMBAVU sana
 
Unazan wewe mme wako ihefu alivyokumwagia viwli kweny mashamba ni wote🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…