Wazee wa mapigo na mwendo (Mashujaa FC) hakikisheni Ayubu FC watakaporudi muwapige kwenye mshono

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimechungulia msimamo nimekuta Ayubu FC na Mashujaa Fc bado Wana mchezo mmoja mmoja mkononi ili kukamilisha ratiba ya Nbcpl raundi ya 6.

Mashujaa Fc msituangushe Wanakigoma nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA niliyekaa Bulombora Jkt 821KJ, nikifanya kilimo cha umwagiliaji kupitia ziwa Tanganyika pamoja na kuvuna Chikichi hakika Mimi ni mwana Kigoma shabiki kindaki ndaki wa Mashujaa Fc.

Ayubu FC watakapotoka misri watakua wamekoga Magoli ya kutosha na ni matumaini yangu wazee wa mapigo na mwendo(Mashujaa Fc) mtapiga kwenye mshono Tena mkilipiza kisasi Cha kudondosha point 3 muhimu mlizozipoteza kutoka kwa JKT Tanzania.

Mashujaa Fc tupo nyuma yenu Wanakigoma tunawatemea hakika hamtotuangusha na tunategemea kuwaona top 4.
 
Nimechungulia msimamo nimekuta Ayubu FC na Mashujaa Fc bado Wana mchezo mmoja mmoja mkononi ili kukamilisha ratiba ya Nbcpl raundi ya 6.

Mashujaa Fc msituangushe Wanakigoma nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA niliyekaa Bulombora Jkt 821KJ, nikifanya kilimo cha umwagiliaji kupitia ziwa Tanganyika pamoja na kuvuna Chikichi hakika Mimi ni mwana kigoma shabiki kindaki ndaki wa Mashujaa Fc.

Mwaka huu hakuna team itakayoisaidia uto kuifunga Simba ,ukiutaka ubingwa mfunge wewe ni mwendo wa tatu Kwa tatu ,Kisha utamjua Roberthihno kwenye tarehe 5 ,#kama unaweza mfunge wewe
 
Hii post usije kuikimbia.
 
Nimechungulia msimamo nimekuta Ayubu FC na Mashujaa Fc bado Wana mchezo mmoja mmoja mkononi ili kukamilisha ratiba ya Nbcpl raundi ya 6.

Mashujaa Fc msituangushe Wanakigoma nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA niliyekaa Bulombora Jkt 821KJ, nikifanya kilimo cha umwagiliaji kupitia ziwa Tanganyika pamoja na kuvuna Chikichi hakika Mimi ni mwana kigoma shabiki kindaki ndaki wa Mashujaa Fc.

Ayubu FC watakapotoka misri watakua wamekoga Magoli ya kutosha na ni matumaini yangu wazee wa mapigo na mwendo(Mashujaa Fc) mtapiga kwenye mshono Tena mkilipiza kisasi Cha kudondosha point 3 muhimu mlizozipoteza kutoka kwa JKT Tanzania.

Mashujaa Fc tupo nyuma yenu Wanakigoma tunawatemea hakika hamtotuangusha na tunategemea kuwaona top 4.
Naunga mkono hoja
 
Yaani leoAyubu fc wanakula 3-0 kutoka kwa Muarabu, tunzeni hii post.
Post ipo 👇tumeitunza😂😅
images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom