Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatafuta viagra sasa baada ya kujiridhisha kuwa nyie hamuiwezi SimbaNimechungulia msimamo nimekuta Ayubu FC na Mashujaa Fc bado Wana mchezo mmoja mmoja mkononi ili kukamilisha ratiba ya Nbcpl raundi ya 6.
Mashujaa Fc msituangushe Wanakigoma nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA niliyekaa Bulombora Jkt 821KJ, nikifanya kilimo cha umwagiliaji kupitia ziwa Tanganyika pamoja na kuvuna Chikichi hakika Mimi ni mwana Kigoma shabiki kindaki ndaki wa Mashujaa Fc.
Ayubu FC watakapotoka misri watakua wamekoga Magoli ya kutosha na ni matumaini yangu wazee wa mapigo na mwendo(Mashujaa Fc) mtapiga kwenye mshono Tena mkilipiza kisasi Cha kudondosha point 3 muhimu mlizozipoteza kutoka kwa JKT Tanzania.
Mashujaa Fc tupo nyuma yenu Wanakigoma tunawatemea hakika hamtotuangusha na tunategemea kuwaona top 4.