Wazee wa Mapikipiki: Kati ya Yamaha R1, Honda CBR1000RR na BMW S100RR ipi kali kwa muonekano na performance?

Hutakiwi kwenda umbali mrefu umeinamisha mgongo. Tafuta chuma ambazo unakaa in a natural position

View attachment 3512912
Lakini kama ni kwa ajili ya kwenda kula ice cream na warembo basi hizo zitakufaa 😁😁
Haya ma GS yanakelele aisee. Hafu unakuta used Mil 26+
Isanga family swala la muda tu. Kuna siku nakuja PM uniagizie chuma.
 
Hutakiwi kwenda umbali mrefu umeinamisha mgongo. Tafuta chuma ambazo unakaa in a natural position

View attachment 3512912
Lakini kama ni kwa ajili ya kwenda kula ice cream na warembo basi hizo zitakufaa 😁😁
Hii chuma sh ngapi

Mtu anatoa milioni 55 kununua pikipiki huku hio pesa kuna mwingine maisha yake yanabadilika kabisa.

Kweli kuishi hatufanani ila pumzi ni ile ile
Sure mkuu ni pensheni ya mtu..nikiendelea na usenge huu..hii pikipiki sinunui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…