Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Holmes hakuwa Mzee kama unavyosema walipishana umri maana kipindi hicho Tyson alikuwa 20s lakn fuatilia mapambano yote ni kweli aliokuwa anawapiga ni wazee?Fatilia,hata huyo aliemlipizia kisasa Mohamedi Ali tayari umri ulikua umekwenda
Huyo ni mtoto wake...yupo mshua alikuaga na mkono wa kushoto fast kama una motaUnamsema Frazier huyu au kuna mwingne? View attachment 1497335
daaaaaaah mkuu hapa tuko pamojaaMimi mkuu napenda sana mabondia wa uzito wa kati jamaa wanaburudani sio poa na wepesi mno yani hawachoshi kuwatazama naanza na Saul 'canelo"alvalez,uyu ndo mwamba kwa sasa wa dunia katika middle weight na vile vile kwa ubora wa division zote,halafu anafatia mfalme wa knockout duniani amepigana mapambano 39 ko ni 35 Gennady Gennadiyovich Golovkin [GGG]uyu ndo role modo wangu jamaa ni sugu balaa ukitaka umuelew cheki pambano lake na canelo la kwanza na la pili na pambano na jamaa wa kuitwa marco antonio rubio ndo utamuelewa triple G,Terence crawford,amir khan,mwakinyo,nasibu ramadhan,haidar mchanjo na dogo wa tanga anaitwa salim mtango,miguel cotto,pacman dah kwa kweli wapo wengi mkuu.ila division ya middle weight naipenda sana ata welterweight sio mbaya.
Huyu hapa..ni balaa[emoji117]]Hapo sawa
Acha utani jombaa. Alipigana na Holmes January 22 1988 na alimpiga kwa ko wakat Evander alipgana na Holmes June 19 1992 na alimpga kwa point halafu unasema alikuwa anapigana na wazee???!!Tyson alipangiwa mapambano mengi na wazee ndo maana aliwapiga tu!