Mimi mkuu napenda sana mabondia wa uzito wa kati jamaa wanaburudani sio poa na wepesi mno yani hawachoshi kuwatazama naanza na Saul 'canelo"alvalez,uyu ndo mwamba kwa sasa wa dunia katika middle weight na vile vile kwa ubora wa division zote,halafu anafatia mfalme wa knockout duniani amepigana mapambano 39 ko ni 35 Gennady Gennadiyovich Golovkin [GGG]uyu ndo role modo wangu jamaa ni sugu balaa ukitaka umuelew cheki pambano lake na canelo la kwanza na la pili na pambano na jamaa wa kuitwa marco antonio rubio ndo utamuelewa triple G,Terence crawford,amir khan,mwakinyo,nasibu ramadhan,haidar mchanjo na dogo wa tanga anaitwa salim mtango,miguel cotto,pacman dah kwa kweli wapo wengi mkuu.ila division ya middle weight naipenda sana ata welterweight sio mbaya.