GE2025 Wazee wa Mbarali: Tumchague Rais Dkt. Samia tusisikilize Vijana Vijiweni

GE2025 Wazee wa Mbarali: Tumchague Rais Dkt. Samia tusisikilize Vijana Vijiweni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania;

Kwani alipotoka ni pagumu na akaweza hivyo wana kila sababu ya kumuombea afya njema ili afanye zaidi ya aliyofanya kwa kipindi cha miaka minne na watampa kura ya ndio Oktoba 29, 2025.

Kumbuka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kunadi sera zake ili kuomba ridhaa kwa Watanzania na kuiongoza nchi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.





Chanzo: TV E
 
Mkangafu 😅😅
Nje ya mada,Nilipewa hiyo pombe ni taboo juice ambayo imekaa kwa siku kadhaa hakika ile ilikuwa ni natura wine ever 🤗

Wazee wa uko huwaambii kitu kuhusu iyo pombe,wazee wetu hao huwaambi kitu kuhusu CCM maana hawanaga nyenzo za kupata taarifa sahihi na zinazokuwa na ukakasi,

24hr anasikiliza Tbc taifa,na kuangalia zile national mainstream medias
 
Vijana wa Vijiweni sio Watanzania ?; Au hawana Haki ya kutoa mawazo yao ?
 
Bila kumuona Mdude, hatupigi kura ya kumuweka malaya Ikulu
 
Sasa wazee ambao nguvu hamna tena, wanataka kuwachagulia vijana ambao ndo nguvu kazi ya Taifa wa kufanya nao kazi?
Wao walikuwa busy na nyimbo za Komba akati wenzao wanabadilisha mabox ya kura..
 
Back
Top Bottom