Duuh! tangu mwaka huu nashuhdia mikeka yangu ikiwa inadead tu yani sijui timu zangu nnazozipa ushindi zimeshuka kiwango,
mfano majuzi man city niliwuwukea elfu 20 nikaliwa, Barca ndio majanga Everton ndio majanga.
Nipen ushauri wanangu maana mtaani kwenyewe hakuna kazi nalalia double deka kwa mama.
We ng'ombe kweli,weka jero jero unaweka 20 yote hyo!alf we utakuwa mshabik wa man u tu wewe,wenzio kwnye kubet hawaangalii mapenz bali uhalisia timu ht kama huipendi ila inafanya gud iwekee mzigo