Wazee wa mikeka msaada

Wazee wa mikeka msaada

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Habari?

Duuh! tangu mwaka huu nashuhdia mikeka yangu ikiwa inadead tu yani sijui timu zangu nnazozipa ushindi zimeshuka kiwango,
mfano majuzi man city niliwuwukea elfu 20 nikaliwa, Barca ndio majanga Everton ndio majanga.

Nipen ushauri wanangu maana mtaani kwenyewe hakuna kazi nalalia double deka kwa mama.
 
We ng'ombe kweli,weka jero jero unaweka 20 yote hyo!alf we utakuwa mshabik wa man u tu wewe,wenzio kwnye kubet hawaangalii mapenz bali uhalisia timu ht kama huipendi ila inafanya gud iwekee mzigo
 
mtena

huwe unanitafuta nikupe mechi zenye uwakika wa ushindi.

Kwa leo mechi ambazo ni za uwakika ni Barcelona na Lyon.

Zile 50/50 ni Nortngham, Madrid,Roma,
 
Last edited by a moderator:
Tupatie ya Leo baas maana nahic kuna hela
 
Back
Top Bottom