OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
😆
Just imagine sasa hivi umri ulionao mwaka 2070 utakuwa na miaka mingapi?
Kizazi cha 1990 mpaka 1999 ndio watakuwa wazee wa busara 😀
HALI ITAKAVYOKUWA
Enzi zetu kulikuwa na msanii anaitwa Meja kunta na Man fongo wakali wa singeli nyinyi watoto wadogo hamjui kitu
Enzi zetu Raisi wa Yanga akiwa Eng Hersi Yanga iliinyanyasa sqna Simba, Hivi mnamjua Dube kweli nyinyi? Mnamjua Kibu nyinyi? 😆
Mjukuu wangu weka wimbo wa Diamond na Marioo nitolee hilo li wimbo la kizungu
Enzi zetu ili ulambe teuzi ilikuwa lazuma uwe chawa wa mama☺️
Jamani njooni tuwaelezee wazee wa mwaka 2070 watakavyokuwa maana nmefikiria nkajikuta nacheka mwenyewe