DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Habari zenu
Ipo hivi, hapa job kwetu kuna wageni wawili wanaume wa kizungu. toka germany. so wameniomba this weekend niwapeleke night club nzuri wakaparty. nkasema poa.
Lakini kiukweli sio mjuzi wa haya ma night club kabisa. club pekee ninayoijua ni ambiance pale africasana. so wakuu naombeni mnipe code ni club gan naweza enda na wazungu wangu. maelekezo yaanzie mwenge sababu ndio meeting point na wazungu wangu.
Natanguliza shukrani