Wazee wa PS games tukutane hapa

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
118
Habari wan aJF

Naleta thread hii mahususi kwa kupeana ujuzi zaidi kuhusu ps2, ps3 na ps4 kwa matengenezo na vitu muhimu pia kama una games unaweza kuzilink watu wazipate na updates zote.
 
Write your reply
Napataje ps3 au ps4 iliyo chipiwa
 
Hivi hizi mnazipendea nini ?Hamjui zinaharibu bongo zenu na mnakuwa addict ?Mwanangu wa 9 yrs kaniomba nimnunulie PS4. Nimekataa maana i hate video games.Video games ni sawa na madawa ya kulevya. Zinaharibu nguvu kazi.
 
habari wanaJF
Naleta thread hii mahususi kwa kupeana ujuzi zaidi kuhusu ps2,ps3 na ps4 kwa matengenezo na vitu muhimu pia kama una games unaweza kuzilink watu wazipate na updates zote
mkuu unatengeneza games zilizo halibika pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…