Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapatikana wapi mkuuNinauza PS3 fat, yenye 200gb HDD na padi mbili, jailbroken firmware, you can use external hard drive kwa kucheza games. Bei ni 300,000/= Wasiliana nami kwa 0789444498.
Sent using Jamii Forums mobile app
taja bei ya hiyo psunasema mahali ulipo tukishaelewana unatumiwa mkuu
unapata ps3 iliyokua chiped ndani ina games 5 pad 2 HDMI na waya wa pad
unasema mahali ulipo tukishaelewana unatumiwa mkuu
unapata ps3 iliyokua chiped ndani ina games 5 pad 2 HDMI na waya wa pad
Kwa mtoto sawa ila kwa mtu mzima ni moja ya kiburudisho muruaHivi hizi mnazipendea nini ?Hamjui zinaharibu bongo zenu na mnakuwa addict ?Mwanangu wa 9 yrs kaniomba nimnunulie PS4. Nimekataa maana i hate video games.Video games ni sawa na madawa ya kulevya. Zinaharibu nguvu kazi.
450 vup mkuuPs4 fat 500gb nauza ikiwa na controller moja na power cable na fifa 16, bei 700,000/= maongezi yapo nipigie 0673748445
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unatengeneza games zilizo halibika piahabari wanaJF
Naleta thread hii mahususi kwa kupeana ujuzi zaidi kuhusu ps2,ps3 na ps4 kwa matengenezo na vitu muhimu pia kama una games unaweza kuzilink watu wazipate na updates zote