Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ahsante sana mkuu, why tuta za iringa wasiondoe?,naona mikumi national park kuna unafuu kidogo wa matuta

Sehemu kubwa ya Iringa ina matuta kwa zamani kulikuwa kunatokea sana ajali, siku hizi hadi kipande cha Ifunda <> Mafinga <> Nyololo <> Sao Hill <> Makambako kina tutaz wakati zamani kilikuwa cheupe unayoosha goti tu...

Mikumi nayo imepunguzwa zile rasta 'mtoto wa tuta' baada ya kurekebishwa lami...
 
Kuendesha chombo mchana kumenishinda kabisa, sijawahi kupona mkono wa wazee wa favor...

Sababu siwezi endesha gari highway halafu nifuatishe vibao vyote, huwa napunguza mwendo maeneo yenye watu tu...
Halafu hili la mkuu RRONDO kuendesha gari ndani ya highways zetu bila ya kupigwa mkono, sijui anafanikisha vipi, binafsi siwezi, nilijaribu kuendesha morogoro (200km),na kutumia zaidi ya 4hrs still nililiwa kichwa ×2,ndio maana binafsi ni usiku tu, unaondoka tunduma at 14:00hrs, by 18:00 upo Jacaranda city ,kutoka hapo giza limeingia ni kutafuta tanker moja Lina set pace
 
Yes mkuu,mikumi national park kupo safi, chini pale kuanzia iyovi Pako safi, ila why wameweka yale matuta porini kule?,loooo kuna rasta mbaya mno kuanzia hapa kwenye pit stop ya pale ipogolo hadi ifunda, tuta za mafinga ni za ovyo mno
 
Mchana wenyewe tupo na trip nzima hatutoi hata buku!
Mkuu kama una muda tupe lecture humu mbinu za kuendesha mchana na usipigwe mkono!,maana pale sanga sanga check point utoboe, then Ruaha darajani (hii check points ndio notorious kwa sasa,imeipita sanga sanga one)utoboe, ukatoboe ya wanging'ombe check point, bila ya kuacha buku buku humu !,naona haliwezekani kabisa
 
Labda wewe utuambie huwa unapigwa faini bila kosa? Kama unapigwa faini kwa gari mbovu rekebisha,kama speeding just observe speed limit.
 
Labda wewe utuambie huwa unapigwa faini bila kosa? Kama unapigwa faini kwa gari mbovu rekebisha,kama speeding just observe speed limit.
Only speed, siwezi endesha under 50km/hrs kwenye freeways, it's craze mkuu speed limits za majirani zetu ni tofauti kabisa na sisi, Rwanda 80km,Namibia, sa, Botswana ,Zambia ni kuanzia 100km/h to 120km/h,sasa Tanzania max speed limit ni ngapi?,maana kuna vibao vya 50 tu T1 yote ila vinatofautiana mwenekano
 
Sikuelewi hata shida yako ni nini. Fuata sheria ya nchi husika. Ukiwa Zambia endesha kwa sheria za huko usilazimishe uko Tz uendeshe kwa speed za Botswana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…