Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hizi caption zake ndo zinavuta watu wengi kwa Sossy...jamaa anajua kucheza na audience [emoji28][emoji28]

Niliona post moja anauza Lori la kuzoa maji taka anakwambia wanakupa na mavi ya kuanzia kazi[emoji28]
Hahaha, niliona ile post. Ila nimeshangaa lile tank wanauzwa million 29 na ni namba DWS na kwenye picha limenyooka sana.
 
Nyieee
Kuna wale wazee wa kufungia breki zero distance kwa gari iliyo mbele yake.
Hiyo kitu sio nzuri… siku breki zinaweza kukukataa ukajikuta uvunguni mwa gari.

Vimewakuta ndugu zangu hivyo 😔
Alhamdullilah, wote wako salama, mmoja tu aliumia kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…